Haijalishi wanaangalia Head to Head. Simba inatakiwa tu kushinda hata bao moja linatosha wao washinde nyingi wawezavyo hazitowasaidia kitu.WaNatakiwa washinde 4-0.
Matokeo yetu ya mwisho ya sisi kushinda ndio yatatuvusha.Fafanua
H2H wanaangalia kama mkilingana point.Anatakuwa ashinde kuanzia 3 ndo awe mshindi wa pili
Simba akishinda match yake ya jwaneng, huyo wydad hata ashinde 30 bado hapitiiii.WaNatakiwa washinde 4-0.
Ndiomaana amekwambia hata akishinda 100 kama simba atashinda haitamsaidia, pili lazima amfunge asecKuna uhakika gani wa kushinda hiyo mechi?