FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

Huu ni uongo mtupu, afadhari hata mechi ya ASEC
 
Leo nme amini Zile 5 hatukurogwa wala kuhujumiwa
Wewe sio Simba ondoa ujinga hapa. Timu imecheza mpira angalau umeonekana na tupo ugenini.

Possession Simba ameongoza vipindi vyote tena kwa interval kubwa. Ulitaka timu ichezeje ndiyo ujue kuna mabadiliko angalau kwa kuanzia?
 
Bila kusahau clean sheet ya kwanza kwenye mechi ya kimataifa msimu huu
 
Hakuna shida All is well
 
Wewe sio Simba ondoa ujinga hapa. Timu imecheza mpira angalau umeonekana na tupo ugenini.

Possession Simba ameongoza vipindi vyote tena kwa interval kubwa. Ulitaka timu ichezeje ndiyo ujue kuna mabadiliko angalau kwa kuanzia?
Mimi sio mnafiki hakuna kitu tumefanya hao jamaa sio wazuri tumewapa uzuri
 
Kwa timu hii na kocha huyu kipipa, msimu huu kolo ataitazama cafcl robo robo kwenye Azam sports 1 HD
 
View: https://twitter.com/ExMayorUbungo/status/1730969678225231982?t=6H_48VIVxQZ-f2rJhqaE-A&s=19
 
CC; Charles kilian ,
Suley2019 .
😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…