Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kukumbuka ya kale ni dalili moja wapo ya kurudi katika ujingaLeo nme amini Zile 5 hatukurogwa wala kuhujumiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukumbuka ya kale ni dalili moja wapo ya kurudi katika ujingaLeo nme amini Zile 5 hatukurogwa wala kuhujumiwa
Huu ni uongo mtupu, afadhari hata mechi ya ASECKwangu naona kuna 'Positives' nyingi kwa Simba leo kulinganisha na mechi iliyopita japokuwa timu haijafanikiwa kushinda mechi.
Atleast wachezaji leo wamejitutumua japokuwa kulikosekana utulivu tu.
Imani yangu, timu itatulia vyema kabisa na ukizingatia dirisha dogo linakarbia.
Mimi mtazamo wangu ni tofauti, lazima ujifunze ulipo koseaKukumbuka ya kale ni dalili moja wapo ya kurudi katika ujinga
Huu msimu tufanye kama vile usha ishaSimba ipo nafasi ya 2 ili kupita hao waliopo chini yake awafunge na huyu akija kwa mkapa akandwe.
Wewe sio Simba ondoa ujinga hapa. Timu imecheza mpira angalau umeonekana na tupo ugenini.Leo nme amini Zile 5 hatukurogwa wala kuhujumiwa
Bila kusahau clean sheet ya kwanza kwenye mechi ya kimataifa msimu huuWewe sio Simba ondoa ujinga hapa. Timu imecheza mpira angalau umeonekana na tupo ugenini.
Possession Simba ameongoza vipindi vyote tena kwa interval kubwa. Ulitaka timu ichezeje ndiyo ujue kuna mabadiliko angalau kwa kuanzia?
Kwanini?Huu msimu tufanye kama vile usha isha
Acha tu aisee....shughuli yenu naona imemalizika kinyonge,
Mimi sio mnafiki hakuna kitu tumefanya hao jamaa sio wazuri tumewapa uzuriWewe sio Simba ondoa ujinga hapa. Timu imecheza mpira angalau umeonekana na tupo ugenini.
Possession Simba ameongoza vipindi vyote tena kwa interval kubwa. Ulitaka timu ichezeje ndiyo ujue kuna mabadiliko angalau kwa kuanzia?
Kabisa kakaKwa mtu mgeni anayeangalia hii michuano kwa mara ya kwanza akiambiwa hii ni moja wapo ya timu 16 Bora zinazowania taji la afrika.... Ataidharau sana hii michuano.
Kila mtu asikilize moyo wake...Hakuna kitu hapo tusidanganyane
Kwa hiyo na Yanga walicheza na wafugaji wa kondoo kama nyie?Mnapata wapi nguvu za kumsema mtu amedroo ugenini na nyie mlochabangwa 3 kwa sifuri..
Kweli nyie hamnazo
Huyo anaelewa basi? Ye anajua mechi ni mechi tu.Kwa hiyo na Yanga walicheza na wafugaji wa kondoo kama nyie?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Match Day
🏆CAF Champion League
⚽ Jwaneng Galaxy vs Simba
🏟️ Francistown Stadium
🗓️ 02.12.2023
⏰ 1600hours (EAT)
Kikosi cha Jwaneng' Galaxy kinachoanza.
View attachment 2831454
Kikosi cha Simba Kinachoanza
View attachment 2831455
All the Best Mnyama.
Updates...
Sasa ni Saa Tisa na Dakika 25 Alasiri.
Hali ya hewa ya Dar es Salaam ni ya joto kidogo, maeneo mengi yana mawingu ya hapa na Pale...
Zimebaki dakika 34' tu kipute hiki kianze.
Huko FrancisTown Stadium.
Saa 9:55 Alasiri, team ndio zinaingia Uwanjani sasa,
Uwanja unaonekana kuwa na mashabiki wachache sana.
Simba atacheza ugenini bila pressure ya Mashabiki...
10:00 jioni.
Mpira umeanza na Walionzisha ni Jwaneng'
Dakika 0' sekunde ya 55 Simba wanakosa goli la wazi hapa
Dakika 2'
Onana anapiga mpira unatoka nje inakuwa goli kick
Dakika 3'
Kibu anacheza faulu hapa.
Dakika 8'
Simba waapata faulu nje kidogo ya 18.
Inapigwa vizuri ,
Kipa wa Jwaneng' anaokoa
Dakika 9'
Jwaneng' wanakosa goli hapa
Dakika 10'
Jwaneng' wanapata kona ya kwanza.
Inapigwa lakini haileti madhara yoyote
Dakika 12'.
Tumeotea. (offside)
Dakika 13'
Ngoma anapiga shuti kali , linapaa juu inakuwa goal kick.
Dakika 16'
Jwaneng' wanapata faulu.
Inapigwa anadaka vizuri kipa wetu Ayubu
Kuna mzozo unatokea hapa.
Baleke amechezewa vibaya lakini refa anauchuna
Dakika 19'
Kipa wa Jwaneng' anafanyiwa matibabu .
Mpira umesimama kidogo
Dakika 21'
Simba tunachezea nafasi ya wazi hapa.
Mpira hautulii kabisa mguuni.
Wakati huo huo Kibu D yuko chini. kafanyiwa faulu
Dakika 24'
Tunakosa tena goli la wazi kabisa hapa
Dakika 26'
Jwaneng' wanapiga faulu ila inatoka nje inakuwa goal kick
Dakika 27'
Baleke anakosa tena hapa.
Huku Possession ikiwa ni Sisi 71%
Wao 29%
Dakika 29'
Saido anachezewa faulu inapigwa haileti mafanikio
Dakika 31'
Mpira umesimama kwa Dakika 1
Wanakunywa maji.
Joto ni kali.
Dakika 33'
Game On...
Simba tunahitaji utulivu kidogo tu hawa watu wanapigika
Dakika 34'
Baleke anakosa tena
Dakika 35'
Jwaneng' wanafanya shambulizi lakini halizai matunda.
Hawa jamaa ni wepesi sana
Dakika 37'
Inapigwa faulu kuelekea Simba.
Mohamed Hussein anaondosha
Jwaneng' wanapata kona ya Pili hapa
Inapigwa haizai
Dakika 39'
Game On..
Simba wanatawala mpira ugenini
Dakika 40'
Simba tunapata kona ya kwanza
Dakika 41'
Tunapata faulu eneo zuri sana.
Saidoo nyuma ya mpira.
Inpigwa kipa anadaka mpira
Dakika 43'
Mpira unarushwa kuelekea simba.
Anarusha moja kwa moja Ayubu anadaka
Dakika 44'
Jwaneng' anapata kadi ya njano kwa kujaribu kumdanganya refa.
Amejirusha makusudi kabisa ndani ya box
Dakika 45' +1
Tunapata faulu eneo zuri sana.
Anapiga Saidoo ila inaokolewa na Kipa wa Jwaneng'
Dakika 45' + 3
Kanoute anapigwa Yellow.
Mpira ni HT.
Dakika za kipindi cha kwanza zimetamatika hapa.
Bila bila...
Tukutane tena kipindi cha pili.
Updates...2nd Half.
Dakika 46'
Limetokea shambulizi kali upande wa Simba.
Inonga anapigwa Yellow.
Faulu inapigwa nje kidogo ya 18
Game on...
Dakika 48'
Inapigwa faulu inatoka nje.
Dakika 50'
Onana anapiga inatoka nje
Dakika 51'
Simba tunapata kona,
Inapigwa haizai matunda.
Dakika 55'
Game On...
Simba hatujawa na Muunganiko mzuri bado
Dakika 57'
Game On.
Simba wanamiliki mpira vizuri.
Onana anaonyesha udhaifu kidogo hapa
Dakika 59'
Zimbwe anapiga ila unatoka nje
Dakika 62'
Sub. Simba wanafanya hapa
Onana Out
Chama Inn
Kanoute Out
Mzamiru Inn...
Dakika 66'
Jwaneng' wanapiga kona yao hapa.
Haileti madhara yoyote kwa Simba.
Goal Kick
Dakika 68'
Jwaneng' wanapata kona nyingine hapa.
Inapigwa haileti madhara
Dakika 70'
Tunapata kona haileti faida yoyote
Dakika 71'
Kona nyingine inapigwa na Simba haileti madhara.
Saido anaunawa mpira.
Dakika 73'
Game On...
Simba wanautawala Mpira.
Ila mawasiliano sio mazuri.
Baleke amechoka.
Abadilishwe
Chama anashindwa kufanya maamuzi ya haraka, tunapoteza tena nafasi
Dakika 75'
Mpira umesimama kwa Dakika Moja kupoza joto kidogo.
Dakika 77'
Game On....
Bado hakuna m'babe hapa
Dakika 78'
Simba wanafanya Sub hapa.
Saido Out
Miquisonne Inn
Kibu D Out
Phiri Inn
Dakika 79'
Ngoma anacheza faulu na inapigwa inaishia kwenye mikono ya Ayubu.
Dakika 81'
Game On ila bado Simba wanamiliki mpira japo Muunganiko sio mzuri.
Linatokea shambulizi kwa Simba Ayubu anadaka mpira
Dakika 83'
Jwaneng' kama vile wanapoteza muda hivi.
Wameingia uoga. wanatafuta Suluhu
Baleke anabaki na Kipa ila anashindwa kabisa kufanya maamuzi.
Mguu wake unapata kigugumizi kikali
Dakika 86'
Baleke Offside
Dakika 88'
Mchezaji wa Jwaneng' yuko Chini hapa akipatiwa matibabu.
Ametolewa nje kwa matibabu zaidi, ila amenyanyuka ni ishara yakupoteza muda.
Dakika za Nyongeza ni 4'
Baada ya muda wa kawaida kumalizia.
Wakati huo huo
Inapigwa shuti ya moto kwa Jwaneng'.
Haizai matunda
Dakika 90'+2
Simba wanafanya mabadiliko
Israel Inn
Zimbwe Out...
Full Time.
Jwaneng' 0- 0 Simba.
Hakuna M'babe...
#Nguvumoja#...
CC; Charles kilian ,