Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kabisa. Kila la heri Simba.Muhimu sana washinde ili kufufua matumaini ya robo fainali.
Baada ya uto kuchezea nyingimatusi yanaanza Sangapi ?
Mechi ikiishamatusi yanaanza Sangapi ?
Naombeni link ya kuangalia mechiSimba anashinda hii game
Naombeni link ya kuangalia mechi
Scars
Inawezekana ila kocha anahitaji nafasi ya maamuzi tusimpe presha. Huoni kuna mabadiliko namna timu inavyocheza?Bado Chama anahitajika kwenye nafasi ya Onana