FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

Hawa jwaneng nikiwakusanya wale wanangu wa mtaani ambao tulicheza futiboli pamoja, mazoezi ya mwezi tu, hawatufungi hawa kenge.
Simba tumeshuka sana kiwango.
Sio kweli. Huu ni uongo. Galaxy wanacheza vizuri na wanazuia vizuri na wana kipa mzuri.
 
Back
Top Bottom