makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sio kweli. Huu ni uongo. Galaxy wanacheza vizuri na wanazuia vizuri na wana kipa mzuri.Hawa jwaneng nikiwakusanya wale wanangu wa mtaani ambao tulicheza futiboli pamoja, mazoezi ya mwezi tu, hawatufungi hawa kenge.
Simba tumeshuka sana kiwango.
Ila leo naona mpaka sasa kacheza vizuri.Ni kweli jamaa ana zali...
Dah!...hii mechi tunahitaji sana ushindi, hata sare haitufai.Galaxy wanajua kuzuia, wasituotee tu maana itakuwa balaa.
Wanaonekana wanacheza vizuri sababu ya ubovu wa simba, ukitizama kwa makini, wana makosa mengi mnooSio kweli. Huu ni uongo. Galaxy wanacheza vizuri na wanazuia vizuri na wana kipa mzuri.
Utupe baadaye na ya Uto kule yacini tv
Wanajua kuzuia, Simba wanahitaji kutuliza akili kuwafungua ili wapate goli.Hawa jamaa nao hawana mpira wowote, ila wanaonekana wanajua kukaba basi.