FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Huu Uzi wanatakiwa mashabiki wa Simba, biashara na Azam nashangaa Utopolo kuwaona humu wakati hawana kadi.
Wazee wa ndizi, kijiko na pilipili.
 
mkuuu hatufungwi tena sahau kabisa hakuna timu ya kutufunga kwa sasa Africa kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo

kwa hiyo kimahesabu sie ni mabingwa wapya wa ligi na mabingwa wa caf champions league msimu ujao

uharo utauona kwnye makundi tulia hivyo hivyo kijana zile sindano tano tano zinakuja kama huo unauona uharo basi ujue huo ni wa kuku wa bata tunausubiri tuuone kwenye makundi

ni kweli timu yetu ni ya mchangani ndo maana tukawapiga cha nguruwe
Acha makasirikio
 
Back
Top Bottom