Tumia zako za uchawi wa shehe wenuThis signifies your poor minded person
Kwahyo Kwa Huo utaratibu Yanga iliingizwa kama timu kubwa au ndogo?So, Thanks God coz that was to much weak
Ww unaonaje mkuuKwahyo Kwa Huo utaratibu Yanga iliingizwa kama timu kubwa au ndogo?
Sijui ndo nmeulizaWw unaonaje mkuu
simba kwa sasa ina wachezaji wawili tu kanoute na tshabalala overYanga shabiki wenye akili ni Mzee Jk na Mzee Manara Over
swadakta waambie makolokwicho hawa timu hawana kelele nyingiii kama wauza mabeseni ya promotionTimu zote ambazo tumezifunga ndio wanajua ubora wetu, akiwemo na Simba na kupigiwa mpira mwingi sana
Acha makasirikiomkuuu hatufungwi tena sahau kabisa hakuna timu ya kutufunga kwa sasa Africa kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo
kwa hiyo kimahesabu sie ni mabingwa wapya wa ligi na mabingwa wa caf champions league msimu ujao
uharo utauona kwnye makundi tulia hivyo hivyo kijana zile sindano tano tano zinakuja kama huo unauona uharo basi ujue huo ni wa kuku wa bata tunausubiri tuuone kwenye makundi
ni kweli timu yetu ni ya mchangani ndo maana tukawapiga cha nguruwe
Mmeanza uchawiNa mwaka huu mmeanza Tena na 2-0 ugenini
AiseeNote:tuko ugenini,wakija nyumbani sijui watakunywa ngapi hawa galaxy