Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kweli aseeh maana Dar nako huwa ni baridi kali kama bara la Antactica.Cooling Break.
Joto kali sana.
Inafanya Wachezaji wa kimataifa wa Simba wanashindwa kucopy na mazingira
Sawa....Haya kiko wapi? Na kwa kuwa mgunda hana plan B, Baba isaya atamfunga tu.
Leo, Simba, kwa mechi hatoboooiii
Leo mgunda hajawapa somo la pyschologia watoto wake?zimebak 20 tuendelee kuesabu
Elewa neno ndotomakolo wana ndoto za ubingwa.
Wakisare hapa na Mwananchi akishinda kesho ligi imeisha.Hii ngoma ni draw