Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 599
- 1,565
Naona network kwa wanasimba imekata🤣🤣 ikija kurudi mazishi yameisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simba wataongezwa moja.Hii ngoma ni draw
Simba wamekosa Concentration
network ya kuapload comment imekataNaona network kwa wanasimba imekata🤣🤣 ikija kurudi mazishi yameisha
Hawa hata wakipewa penati bado watakosasimba wataongezwa moja.
Itakuwa alimaniisha "clean shit"Kiko wapi.. Ng'aa Ng'aaa sijuii fyoko fyoko eti Clean nn sijui
Sawa kila la kheriTunapata goli mtani
yanga inahitaji points 3 kubeba kombe kama simba atashinda mechi hii na nyingine,Leo simba wakitoa sare mchezo huu basis yanga tutahtaji ushindi kesho tuchukue ubingwa
Hawa uwezo wao ndo umeishia hapaWakisare hapa na Mwananchi akishinda kesho ligi imeisha.
Naona ndio umeamkaNaona network kwa wanasimba imekata🤣🤣 ikija kurudi mazishi yameisha
Ameeenyanga inahitaji points 3 kubeba kombe kama simba atashinda mechi hii na nyingine,
simba ikitoa sare, Yanga wanahitaji sare ya point 1 tu kesho dhidi ya mtibwa.
#### vita ya nafasi ya pili
Hamna timu hapowamekimbia uzi wao. 🤣🤣
Tulizananetwoooooook imeenda na makolo 🤣🤣🤣🤣