FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

Leo hakuna tambo, kesho Gamond acheze kwa ku relax tu. Draw inatosha sana
 
Ukiacha waamuzi kuwabeba Uto, na sisi pia mwaka huu tuwarahisishia mno Uto. Tuliwachia points 6, magoli 7 na leo tumewawahishia kuchukua ubingwa.
Lakini angalau vita ya nafasi ya pili mmeiweza, Ikiwa simba na azam watalingana points, Simba atapewa nafasi ya pili
 
Haya kwa wale "mpeni timu mgunda atatuvusha"
Bado mna imani naye? Simba timu na kocha bado wote ni vimeo
Labda awavushe pale jangwani
 
Back
Top Bottom