FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

Ile jamaa yao inayoongea kama imekunywa maji ya bafuni ilisema simba anaweza kumfanya kitu chochote timu yoyote wakati wowote na sasa hivi hawataki tena nafasi ya pili ila wanataka nafasi ya kwanza!

Anyways, kwa wiki 2 tulipumzika.makelele ya hatumtaki Mangungu na Try again, vitaanza soon sasa
 
Ndio! Na mpira ushaisha leo simba anafungwa au draw
Nipo paleeee!!🤸
Hakika neno lako limetimia.
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️Shirikisho ikifutwa Simba atacheza mashindano yapi ya CAF!?
 
Back
Top Bottom