Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Nimecheka sanaπππππUkiujua unaujua hatuna haja ya kuchoma na kuharibu pitch ya watu ,mbungi linapigwa tu hapa.
Kwa wale watoto aliochezesha amewadharau sana mashabiki waliojaza uwanja.Nabi hadi aseme ni changamoto gani alienda kuitafuta
Mkuu itoshe kusema mpira unaujuaDube alivyo-hold ule mpiraπ₯π₯π₯
Huyu asipoumia atatusumbua sana
Wamepungua 108135 people are here
Hatari sana
Walisika wanywe mbege wakifarijianaHalafu Utopolo wako serious kinyama.
Kwahiyo unataka kusemaje? Aumie?πππDube alivyo-hold ule mpiraπ₯π₯π₯
Huyu asipoumia atatusumbua sana
Nabi hadi aseme ni changamoto gani alienda kuitafuta
Sawa kocha!
Umemuona mzizeChuma cha Tatuuuuuuuuuuuuuuuu...!πππ₯π€Έ
Mzize akeeeee
Usiseme kwa nguvuDube alivyo-hold ule mpiraπ₯π₯π₯
Huyu asipoumia atatusumbua sana
Bado hujathemAaaaaaaaaaa