FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

Kaiser chief sidhani kama anaweza akatoboa hata kwa coastal Union. Ni vile tu jamaa ni wakongwe ila kimpira ni jkt tuvu walio changamka.
 
Jumapili hii, wananchi Yanga SC watakuwa dimbani tena katika Kombe la Toyota wakicheza na Kaizer Chiefs ya kocha Nasreddine Nabi.

----

View attachment 3055166
Kikosi cha Yanga kinachoanza
5' Keiza 0 - 0 Yanga

10' Keiza 0 - 0 Yanga

15' Keiza 0 - 0 Yanga

20' Keiza 0 - 0 Yanga

25' Goooooal Dubeee
25'
Keiza 0 - 1 Yanga

30' Keiza 0 - 1 Yanga
Wa wapi wewe?. Lete up-to-date kama tuko uwanjani.
 
Back
Top Bottom