FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
10,392
Reaction score
15,948

Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC.

Muda ni Saa 10 Jioni.

Kila la heri mnyama.

Kikosi Cha KMC Kinachoanza


Kikosi cha Simba Kinachoanza

Nguvumoja.

Dakika ya 32'
KMC wanapata goli la Kwanza
Kupitia kwa Waziri.

Game On.
KMC 1 - 0 Simba

HT
Bado Matokeo ni KMC 1 - 0 Simba

Kipindi cha Pili Kimeanza hapa.
Simba wamefanya Sub!

Bocco Out
Baleke Inn
Onana Out
Mzamiru Inn

Dakika 57'
Simba wanapata penalti.
Saidooo anafunga goal la kwanza.

Dakika ya 60'
Simba wanaweka mpira wavuni kupitia kwa Baleke.

Game On.
KMC 1 - 2 Simba

Dakika 88'
Waziri anaipatia KMC goli la 2.

Dakika 90'

Full Time.
KMC 2 - 2 Simba.
 
Wanangu wa kino hiyo manzi imenjileta yenyewe ghetto
 
ni aibu simba na yanga kutokuwa na viwanja vyao
Yaani Unashangaa la viwanja?

Kwa nini usishangae kwa Yanga kutokuwa na channel yao huko whatsapp ilhali ni team kubwa sana TZ 😁

Simba kiwanja tunacho na channel huko whatsapp tunayo.

Endelea kuwaponda Uto pekee πŸ˜‚πŸ˜‚
 
View attachment 2850296
Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC.

Muda ni Saa 10 Jioni.

Kila la heri mnyama.

Nguvumoja.
Linaitwa Pira Benchika,
KMC watautafuta Kwa tochi sana.
Wale wa Kubet mpe KMC handicap ya goli 1 na Still Simba atashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…