FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Kila lenye kheri Simba SC timu yangu niipendayo.
 
Attachments

  • aslan-roar.gif
    aslan-roar.gif
    1.3 MB · Views: 3
Wydad ya sasa hata KMC anajipigia.
Aiseee!!

Nyie watu mbona mnautopolo kwenye hoja zenu??

Timu ya tatu kwa ubora Afrika unaifananishaje na Medeama ambayo hata kwenye 80 Bora ya vilabu Afrika haipo!!

Katimu kameanzishwa mwaka 2002 unakafananishaje na timu iliyoanzishwa mwaka 1941 na yenye makombe matatu ya KLABU BINGWA AFRIKA?
 
Mkuu una uhakika post uliyoquote ndio hii unayoijibu?
Wapi nimeitaja Medeama?
 
Mimi ndiyo nimeitaja Medeama maana na wewe umeitaja Wydad wakati sisi tunacheza na KMC.

Umeniuzia cheni ya bandia na mimi nimekupa noti ya bandia.
Tatizo umedandia mjadala ambao hukuujua mwanzo wake.

Ungefuatilia kwanza kabla ya kukurupuka kujibu, kama sio nakuheshimu nilidhani umerukwa na akili kidogo.
 
Huku ushabiki ni kurukwa na akili.

Lakini kweli unasema Wydad ifungwe na KMC?? Upo fair kweli?

Medeama ndiyo ikifungwa na KMC haitashangaza!!!
 
0 -3 ft hapo baadae
We need more than this.
Huu ubingwa this time unahitaji magoli mengi.
uto na Azam wanagoli nyingi.

Hivi vitimu tunatakiwa tuvikande goli nyingi.
Linaitwa Pira Benchika,
KMC watautafuta Kwa tochi sana.
Wale wa Kubet mpe KMC handicap ya goli 1 na Still Simba atashinda.
Goli moja analipatia wapi?
Ayubu hafungwi tena
 
Aiseee!!

Nyie watu mbona mnautopolo kwenye hoja zenu??

Timu ya tatu kwa ubora Afrika unaifananishaje na Medeama ambayo hata kwenye 80 Bora ya vilabu Afrika haipo!!

Katimu kameanzishwa mwaka 2002 unakafananishaje na timu iliyoanzishwa mwaka 1941 na yenye makombe matatu ya KLABU BINGWA AFRIKA?
Wydad iliyojifia, Wydad jamvi la wageni hadi Galaxy kajipigia huko huko Morocco.
 
Back
Top Bottom