FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Mbona hii KMC ni kama inafundishwa na Nabi? Inapiga counter attacts za hatari sana hapa.
 
Yupo Onana usijali Mchezaji aliyekuwa anagombaniwa na Timu za Ulaya na Etoo akapendekeza aje Kwa WeKUNDU wa Msimbazi.
Mkiambiwa watu wenye akili katika klabu ya Yanga ni wawili tu mnakasirika...Onana anacheza namba ya chama ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…