FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Simba ni kikundi cha mtaani kinachotegemea waganga.
 
Huwezi watofautisha Simba na African Lyon, tofauti yao ni moja tu, hawa wapo ligi kuu hawa wengine hawapo.
 
Lakini mkuu Boko si alifunga mechi ya ligi kabla ya mechi ya jana?
 
Sasa hivi sijui watafanya kampeni gani washabiki wajae, mkosi ulianzwa kuletwa na yale mashabiki yaliyokuwa yanaingia na picha ya rais, mashenzi kabisa.
 
Kwani mtani hujaona maelezo, focus yangu kwa team ni kimataifa, huku kwa league mbna nlishakuambiaga tukutane mwakani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawahawa akina Boko, Saido si ndo wa kwenda kuwafunga Asec kwao?
 
Mtani hivyo timu yako ikiwa kule Kimataifa kina Babu Boko na Mzee Ntibazonkiza hawana shida kabisa ila ukija Premier League ndo hawafai? [emoji1787][emoji1787]

Si ndio. [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Azam alikuwa anaenda kumpiga Simba 5 zingine.
 
Huyu Benchikha ni kina matola waliochangamka!!, Kocha bora huwezi muweka benchi key player wa timu kma CHAMA. Hata matokeo ya juzi ni akili kubwa ya chama iliamua matokeo .. krb Jangwani mwamba
 
Yaani wewe Simba ndo wamekuroga kabisa.
 
Kufunga kwa penalt? Yaan hilo lizee lilivyo na nuksi, mikosi na gundu, hata silitaki kulionaa. Mxxxxiiiiieeeew
Na ninahisi ni mshirikina kabisa, anajiona, kiburi, dharau n.k
 
Huyu Benchikha ni kina matola waliochangamka!!, Kocha bora huwezi muweka benchi key player wa timu kma CHAMA. Hata matokeo ya juzi ni akili kubwa ya chama iliamua matokeo .. krb Jangwani mwamba
Kama Chama akasajiliwa Yanga basi ni fitina tu za Simba na Yanga ila kimpira Chama hana namba pale Yanga, unless awe anatokea bench.
 
Hebu peleka ujinga wako chooni!, Yaani mzinze apate msonda ijekuwa chama akose?. Chama kwenye kikosi Cha yanga anaingia moja kwa moja na impact yake ni balaa.... Hebu jiulize kidogo. Uwe na pacome, chama,Aziz na max 🀩🀩🀩 hiyo timu kucheza Kono kawaida
Kama Chama akasajiliwa Yanga basi ni fitina tu za Simba na Yanga ila kimpira Chama hana namba pale Yanga, unless awe anatokea bench.
 
Kati ya Aziz K, Pacome na Max nani ampishe Chama? Clement na Musonda wanacheza number tofauti nae
 
Mpira sio rahisi hivyo, kama unavyotamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…