Ha ha ha ha ha si ilibidi iwe Januar? Wameipeleka mbele tena zaidi, Simba alikuwa anakufa si chini ya 3.TFF wasogeze mecha na Azam mbele zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha si ilibidi iwe Januar? Wameipeleka mbele tena zaidi, Simba alikuwa anakufa si chini ya 3.TFF wasogeze mecha na Azam mbele zaidi
Bila urozi ni kama Simba queens tu.Simba bila urozi ni wepesi sanaaa....hamna kitu kabisaa
Lakini mkuu Boko si alifunga mechi ya ligi kabla ya mechi ya jana?Team inakosa hata mvuto wa kuitazama, mie kwa mwaka huu nilishaacha kufuatilia ktk league,
Huwa natazama za kimataifa, popote tutakapoishia bas na mie naacha kufuatilia team had mwakani.
Team yenye malengo makubwa, haiwezi kuwa na babu bokoo, au mzee ntibanzokiza, km c uchuro nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badoo Azam anawasubiri kwa hamu, atawakanda had mkandikee tenaaa.
Pumbaaaaavuuuuuuu.
Hawahawa akina Boko, Saido si ndo wa kwenda kuwafunga Asec kwao?Kwani mtani hujaona maelezo, focus yangu kwa team ni kimataifa, huku kwa league mbna nlishakuambiaga tukutane mwakani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaongeaga sana huyu.
Azam alikuwa anaenda kumpiga Simba 5 zingine.Mtani hivyo timu yako ikiwa kule Kimataifa kina Babu Boko na Mzee Ntibazonkiza hawana shida kabisa ila ukija Premier League ndo hawafai? [emoji1787][emoji1787]
Si ndio. [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Yaani wewe Simba ndo wamekuroga kabisa.Wanaomfitini Chama ni Viongozi wa Simba wanao lipwa na Yanga.
Chama kafanya makubwa Sana Simba.
Mvunjieni Mkataba wake aende Yanga.
Hizi ni mbinu za Yanga kumchukua Chama na Saidi alishasema kwenye mahojiano, kumbukumbu zipo.
Leo mnadhihaki Chama na kumthamini Anana kweli ?
Huyo Anana kafanya nini Simba ?
Hizo goli Mbili za ndondokela.
Chama hana nidhamu wakati ni mlokole.
Hanywi pombe havuti Sigara, hatongozi.
Na ninahisi ni mshirikina kabisa, anajiona, kiburi, dharau n.kKufunga kwa penalt? Yaan hilo lizee lilivyo na nuksi, mikosi na gundu, hata silitaki kulionaa. Mxxxxiiiiieeeew
Nimecheka sana mkuuTujikumbushe Mambo ya Babu Boko hayo. Hizi ni highlights za game ya jana na namna Boko alivyokuwa anagusa mipira.
View attachment 2851263
Kama Chama akasajiliwa Yanga basi ni fitina tu za Simba na Yanga ila kimpira Chama hana namba pale Yanga, unless awe anatokea bench.Huyu Benchikha ni kina matola waliochangamka!!, Kocha bora huwezi muweka benchi key player wa timu kma CHAMA. Hata matokeo ya juzi ni akili kubwa ya chama iliamua matokeo .. krb Jangwani mwamba
Kama Chama akasajiliwa Yanga basi ni fitina tu za Simba na Yanga ila kimpira Chama hana namba pale Yanga, unless awe anatokea bench.
Swala 5 yuleNa ninahisi ni mshirikina kabisa, anajiona, kiburi, dharau n.k
Kati ya Aziz K, Pacome na Max nani ampishe Chama? Clement na Musonda wanacheza number tofauti naeHebu peleka ujinga wako chooni!, Yaani mzinze apate msonda ijekuwa chama akose?. Chama kwenye kikosi Cha yanga anaingia moja kwa moja na impact yake ni balaa.... Hebu jiulize kidogo. Uwe na pacome, chama,Aziz na max [emoji2956][emoji2956][emoji2956] hiyo timu kucheza Kono kawaida
HAKUNA anayempisha, chama anatokea kulia, Azizi anatokea kushoto wakati huo pacome anacheza 10 max 7Kati ya Aziz K, Pacome na Max nani ampishe Chama? Clement na Musonda wanacheza number tofauti nae
Mpira sio rahisi hivyo, kama unavyotamka.Hebu peleka ujinga wako chooni!, Yaani mzinze apate msonda ijekuwa chama akose?. Chama kwenye kikosi Cha yanga anaingia moja kwa moja na impact yake ni balaa.... Hebu jiulize kidogo. Uwe na pacome, chama,Aziz na max 🤩🤩🤩 hiyo timu kucheza Kono kawaida