FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Madogo wanataka kujaribu bahati yao kwa kona fupi lakini cross ya mwisho inakuwa ndefu na mpira unatoka nje ni goal kick
 
KMC timu yangu ya utotoni na mwenge ndio nilipozaliwa nawategemea wagongeleeni chuma za kutosha hao Mbumbumbu,nyie endelezeni walipoishia yanga africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…