Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Hahahhaha poa[emoji3][emoji3] Tuendelee kuwepo hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaha poa[emoji3][emoji3] Tuendelee kuwepo hapa
Kichekesho ikiItaishia 1 - 4
Hakika mkuu hebu ona leo tumesapoti ndani ya dakika 45 tumeona matunda yake 😅Hivi vilabu huwa vinakosa sapoti hadi vinapotea, tusirudie makosa tena.
Sapoti muhimu 😊
Mbumbumbu FC mmeanza kumlilia Chama sasa..!!Mkiambiwa watu wenye akili katika klabu ya Yanga ni wawili tu mnakasirika...Onana anacheza namba ya chama ?
Wazoee hao mbumbumbuMmeanza matusi,sijui kwanini simba fans mna matusi sana mkiongozwa na dully
Safi niliweka westham apate goliMan U pia tumepigwa tayari
Tuongeze juhudi dakika hizi 45 za kipindi cha pili.Hakika mkuu hebu ona leo tumesapoti ndani ya dakika 45 tumeona matunda yake 😅
Chama amepigwa banOnana katoka
Bocco katoka
Mzamiru kaingia
Baleke kaingia
Kuna sehemu nimeandika Chama hapo?Chama amepigwa ban
Naam tufanye hivyo hawa simba ni watoto wadogo (in TID voice)Tuongeze juhudi dakika hizi 45 za kipindi cha pili.