FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

Wameidharau KMC wanaenda kuwapress juu sana hawajui kua kmc wana watu ambao wanaweza ishinda press kama akina awesu, tangalo ndio shida inapoanzia hapo ngoma anaondoka kanoute yuko juu Saidoo ndo hayupo mchezoni kabisa leo ni wa kutoka tu, Onana kakaa tu kule kwenye flang anasubiri mipira tu.
Umeona attemp nyingine, hii sema jamaa kazingua ila ilikuwa kaunta nzuri wanne kwa wawili.
 
Hizi Counter hizi Simba inatakiwa iwe makini sana
 
Back
Top Bottom