FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa

FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa

Tff walikuwa wanataka fainali ya simba v utopolo ndio maana azam kapangiwa Simba nusu kwasababu wanajua fika utopolo hamuwezi azam na vile vile hawezi kumhonga mil 40 😁😁

Yaani uto atabebwa hadi fainali kuja tu kula khamsa 😁😁
 
Tff walikuwa wanataka fainali ya simba v utopolo ndio maana azam kapangiwa Simba nusu kwasababu wanajua fika utopolo hamuwezi azam na vile vile hawezi kumhonga mil 40 [emoji16][emoji16]

Yaani uto atabebwa hadi fainali kuja tu kula khamsa [emoji16][emoji16]
Ana uwezo wa kukataa ili afungwe na Biashara
 
Back
Top Bottom