Aisee kweli kabisaa maana doh yaani naogopa hii match tutatoka na majeruhi wengi sana yaani wanacheza rafu mbaya sana na refa anaacha tuOhoo, hukumbuki maoni ya wachambuzi wetu mpinzani akitaka kumfunga Simba? ndo ninachokiona uwanjani.
Wao wanawaza kupata sifa binafsi tu. Kuipeleka michezo mikoani lazima kuendane na uboreshaji wa miundombinu ili timu zifaidike na uwekezaji wake.TFF imefanya upumbavu wa kufunga msimu
Ukiongezea na pitch mbovu dah..Aisee kweli kabisaa maana doh yaani naogopa hii match tutatoka na majeruhi wengi sana yaani wanacheza rafu mbaya sana na refa anaacha tu
Niko Kilingeni napambana.. Hali ni ngumu..TUMEKAMIWAHii sio mechi bali ni mbungi,vita,mapigano.
Simba 0- Azam 0 mpira ni HT ni saa kumi na dakika 23 jioniTupe matokeo roho zetu zitulie
Mie nilitarajia kwa hatua hii kila kiwanja kiwe kimewekwa ama nyasi bandia ama pitch imeboreshwa kwa kiwango cha kimataifa.Wao wanawaza kupata sifa binafsi tu. Kuipeleka michezo mikoani lazima kuendane na uboreshaji wa miundombinu ili timu zifaidike na uwekezaji wake.
Chama akupa vitu vya ziada awapo uwanjani.Mawazo yangu, atoke chama na aingie morison
Kiukweli hatakama tunataka kupeleka hamasa za michezo mikoani lkn hivi viwanja tff waviangalie upya, huu uwanja haustahili kuchezwa mechi kama hizi.Ukiongezea na pitch mbovu dah..
Ubashiri wangu wa kuongoza kwa goli moja kipindi cha kwanza umedundaSimba 0- Azam 0 mpira ni HT ni saa kumi na dakika 23 jioni
huko nako kuna watanzania wapenda michezo! na kodi wanalipaKiukweli hatakama tunataka kupeleka hamasa za michezo mikoani lkn hivi viwanja tff waviangalie upya, huu uwanja haustahili kuchezwa mechi kama hizi.
Sasa balaa zaidi lipo kigoma huko ule uwanja ndio balaa kabisa una vichuguu kila sehemu, aliye pendekeza hivi viwanja ajitafakari aisee.
Tutatoboa tuNiko Kilingeni napambana.. Hali ni ngumu..TUMEKAMIWA
Hahaha so dakika ya mwisho simba inakufa?Ubashiri wangu wa kuongoza kwa goli moja kipindi cha kwanza umedunda