FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Yanga wamebahatika kucheza na Club ambayo haina mashabiki wengi uwanjani
Kama nyinyi hawa hapa.
Screenshot_20230423_150703.jpg
 
Ina bidi tuwa Chape mengine yafike 4 kufidishia na aibu ya wale wenzetu wakienda kuleee machinjioni
 
Wanapigwa kama Ngoma MANDONGA MTU KAZI.

Malisa GJ ,Samson Charles na Mchawi wao wa Mbutu Block E washajificha sasa.
 
Goli la mwaka la mashindano hapa[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]
 
Back
Top Bottom