Kama nyinyi hawa hapa.Yanga wamebahatika kucheza na Club ambayo haina mashabiki wengi uwanjani
MayeleeeeeeeeNabi kaenda Nigeria Kudefend sioni mipango ya ushindi
IlooooTuliambiwa kwenye nafasi 10 lazima akufunge 1
Hii ni nafasi ya ngapi?
Umeona sasa kumbe hata 6 bado hazijafika
Ebu tuwe na subra basi
Vipi Mzee mkeka umetiki?? Maana najua uliibetia utopoloAsante Fiston