King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Acha wapigwe tu hakuna namnaHawa Rivers United wametepeta
Hahahaaa. LolWanapigwa kama NGOMA Mandonga Mtu Kazi 😀 😀
Mchunga Ng'ombe Mashimo sijui anajisikiaje kwasasa.
Mkuu mpumzishe bwana okw boban na huo uzi wake. Si uliona alileta malalamiko ile id inatumiwa na mtu mwingine mkuu?Mayele Golden boot NBC na Shirikisho ,ngoja nikatoe updates uzi wa Takwimu Vs Kibu D.
Polimilai wakati nimekukanda bao mbiliSimba nasi tupunguze poliminali
Mm ni Simba ila kiukweli Yanga ana asilimia kubwa Sana ya kufika nusu fainaliNikiwa kama shabiki wa Simba kikweli nateseka na haya matokeo ya Yanga 🥺