Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
Yanga timu ya Kwanza East Africa kubeba ShirikishoKwanini tudharauliwe? Kwani tupo mashindano waliyopo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga timu ya Kwanza East Africa kubeba ShirikishoKwanini tudharauliwe? Kwani tupo mashindano waliyopo?
Hawa jamaa wako vizuri msimu huu. Nafunga na kusali watolewe nusu fainaliMm ni Simba ila kiukweli Yanga ana asilimia kubwa Sana ya kufika nusu fainali
Yamekuwa haya tena!! Ni tofauti na ile Rivers ya kuwapiga Yanga kwenye mshono siyo!!Kwa team mbovu hii ya river bado wachambuzi wetu uchwara watawasifu yanga wkt unaona km wanacheza na Mbeya city. ..
Utateseka sana na bado hujaenda moroccoNikiwa kama shabiki wa Simba kikweli nateseka na haya matokeo ya Yanga 🥺
We nishakufunga sana kaa kimyaHizo counter attack mbona hazikufanya kazi mbele ya [emoji881][emoji881]
Huwezi kumwona atakuwa yupo sheli kuweka mafuta ahahaah blarrfuuuuuWee jamaa uliyekua bodaboda nigeria njoo hapa
Hata mimi..nimefurahi binafsi..team zetu zinatutoa kimaso maso...tulinyanyasika sana miaka ile
Ujue lengo ni kusonga mbele na sio mpinzani gani.Watakuwa wajinga wataodharau, level ya Wydad na Rivers United ni mbingu na ardhi
Ujue wao hawajui mashindano ni yapi, wao watasema kimataifaKwanini tudharauliwe? Kwani tupo mashindano waliyopo?
Mzee wa kutetema. 😂His name is kalala mayele..
Huwa naumia sana mkuuSafi
Anaesema ukweli hua anaishi sana[emoji28]
Wee jamaa uliyekua bodaboda nigeria njoo hapa
Naona yanga wametumia mwanya wa rivers kupanda.Mayeleeeeeeee
What a counter attack 🤩