Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa! Hadi nimecheka.Mlioandaa vikatuni,mko salama kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa! Hadi nimecheka.Mlioandaa vikatuni,mko salama kweli?
Too weak wewe kwa mkeo achana na yanga dogoNa sio tu kusonga mbele, ishu unasonga mbele kwenye upinzani gani uliokutana nao?
Yani licha ya udogo wa mashindano bado kumekuwa na timu ambazo ni too weak.
Morocco pataje kwa heshima dada angu hamna vilaza kama akina rivers kuleKama ni rahisi na nyie wengine mkafunge mbili kule Morocco. [emoji1787][emoji1787]
Vip huko soma hiyoooLeo lazima yanga ife...nimekaa pale..mtakuja kunipa mrejesho
Kwasasa halipo tena....usinikumbushe bhana akina Bolizozo walivyosababisha tutembee kwa mguu baada ya mchezoSimba alicheza fainali kombe la CAF 1993
Ukitaka kuwa na muendelezo wa hiyo furaha ni kuzidi kuomba uendelee kukutana na vubonde kama haoNyie nina furahaaaa Wow Wow ...
Aaaaaaw Yanga, I love you so much 💛💚
Nyerere bado yuko hai.Simba alicheza fainali kombe la CAF 1993
Champions league haiwezi kuwa sawa na looser league
Hahaa ila mashabiki wa Yanga. Mna kitu mtafika mbaliMayele tunaweza kumkosa msimu ujao ,maana ndiye anayeangaliwa zaidi barani afrika katika washambuliaji sasa..
Nenda urudi alafu tuone kama utatoka tena mpaka msimu ujaoHili nalo neno
Natuma salamu kwa kibu denis na henock inonga ...leo mmetimiza saba za fungate toka tulivyowakanda mbili za mkwezi....vp kichefuchefu kimeshawaanza ili tuwaletee maembe mabichi na ndimu kutoka moroccoManeno ya mkosaji ,unateseka ukiwa pande zipi ? tuma salamu kwa madunduka watatu.