FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Too weak wewe kwa mkeo achana na yanga dogo
Kwani uongo ofsa?

We mwenyewe unaona kabisa upinzani unaopata ukicheza na Ihefu ni mkubwa kuliko huu upinzani wa Rivers United

Mngekutana na Pyramids somehow inge make sense ila kwa performance ya Rivers hawaleti matumaini yoyote kwenye second leg
 
Na sio tu kusonga mbele, ishu unasonga mbele kwenye upinzani gani uliokutana nao?

Yani licha ya udogo wa mashindano bado kumekuwa na timu ambazo ni too weak.
Kweli kabisa Rivers na timu za Nigeria ni weak sana ila bado sisi hatukufika Nusu
 
Back
Top Bottom