Aisee wewe boda hebu uje unichukue haraka hapa uwanjani ili niwahi zangu ndege ya kunirudisha Bongo.Nimekuwa mshabiki na nikiifatilia Rivers United tangu nikiwa nafanya shughuli zangu za bodaboda hapo jijini Lagos. Kila la heri kwa Rivers United
Simba alicheza fainali kombe la CAF 1993
Wanalipwa $450,000 sawa na 1,055,250,000Huko kutakuwa ni kujifariji ila uhalisia ni tofauti. Nusu fainali hili kombe timu inalipwa Tsh ngapi?
Wamebakia kuifananisha Rivers na timu za Ligi ya Zanzibar. 😂😂😂
Angalau bwana
Cheka tu kipenzi Shadeeya maana walijua tunaenda kufa. Kumbe tunaenda pindua meza. Hii ndiyo Yanga kipindi cha pili nin🔥🔥🔥🔥🔥
Kama nawaona wale mashoga wawili wa Yanga na Zeruzeru watavyotifuatana
tunamuombea pyramids apite tukutane naeKwani uongo ofsa?
We mwenyewe unaona kabisa upinzani unaopata ukicheza na Ihefu ni mkubwa kuliko huu upinzani wa Rivers United
Mngekutana na Pyramids somehow inge make sense ila kwa performance ya Rivers hawaleti matumaini yoyote kwenye second leg
Pole na boda boda yakoNimekuwa mshabiki na nikiifatilia Rivers United tangu nikiwa nafanya shughuli zangu za bodaboda hapo jijini Lagos. Kila la heri kwa Rivers United
Morocco kwa waanaume sikwa kimbe la luza kule..Lolote lipi mkuu ? Sio morocco
Bado unataka mrejesho? Tayari mpira umekwisha.Leo lazima yanga ife...nimekaa pale..mtakuja kunipa mrejesho
WeweBahasha za GSM zimetembea mkuu
Basi basi mwananchi wasamehe
Yaani we acha tuUnadhani ni suala la maombi boss? Ni suala la kujipanga kwa mbinu za kocha na saikoloji ya wachezaji.