cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu furahi nikuonee.Ona hiki kiumbe! Nani kasema analialia!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu furahi nikuonee.Ona hiki kiumbe! Nani kasema analialia!!
Pole sana shabiki hewa wa Rivers United.Mshabiki wa RIVERS since 1905
Dah! Wewe jamaa unajua kutabiri. Yaani umecheza mule mule.Nimechungulia kwenye darubini ya kuangalia mwezi, leo Yanga anapasuka 2-0
Wewe ndio hujui.Kwa hiyo yamekuwa mashindano ya hela na sio kombe tena?
Wacha wewe!! Mshono kama mshono siyo!! Na kweli, kuna mtu amekula 2.😃Labda yanga washinde NJAA!..,.jamaa wanapga kwenye mshono,sio chin ya goli mbili utoh anakufa
View attachment 2596907
ANAITWA NAZIRU AUWALU mshambuliaji wa TIMU YANGU YA UTOTONI YA RIVERS UNITED ya Nigeria [emoji1184] huko huyu anafunga hata akiwa benchi anakabwa na mabeki 7 mechi 10 anagoli 48 kacheza Aston Villa kila la kheri RIVERS UNITED amesema asipofunga leo anaacha kucheza mpira RIVERS UNITED NGUVU MOJA[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1184][emoji1184][emoji1184]
Yaani bonge la pigo. 😂😂😂
Na usishangae aliyeikwapua ni mwenyeji tu. 😂😂😂
Alafu mama nae sii aongeze mzigo bwana hii robo so inataki kila goli million 10Tunakumbushana tu Leo tuna milioni 10 toka kwa Mama Samia Suluhu.
Na mshindi wa pili CL inazidi kidogoWewe ndio hujui.
Sasa unafikiri kombe ni lile bakuli au hela?
Kama huelewi nyie hata mchukue kombe mtaanbulia 2.9B wakati hiyo ni pesa ambayo anachukua mshindi wa pili aliyecheza Club Bingwa.
Ulikuwa wapi mwanzoni?Bahasha za GSM zimetembea mkuu
Pole na boda boda yako
Shukran Mtani. 🙏🙏Hongeraa sanaaaa!!!
Hopee weekend yako iko vyediii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mayelle ni selfish sana.Mayelle leo hamuoni kabisa Aziz Ki wamekatika Nabi awafunde wanatulet down kwa attempts 6 zilizofanyika tungewin hata 2 tayari before HT
Rivers 2 - 0 Wydad Casablanca Full TimeKiwango kidogo mno mashindano haya
Aisee wewe boda hebu uje unichukue haraka hapa uwanjani ili niwahi zangu ndege ya kunirudisha Bongo.
Wakikusikia wenzako watakupigatunamuombea pyramids apite tukutane nae