FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Wanaija Kandeni huo mshono na maji ya motooo ufumuke....
Eee mbwai mbwai tuuu
Nyie wakutuombea mabaya kwa waidadi nyieeee basi ngoja na sisi tufanye vivyo japo maombi yenu hayakujibiwa mnasubiria ya Ijumaa..
😄 😄

Mshono kama mshono! Acha kabisa. 😃
 
Wewe ndio hujui.

Sasa unafikiri kombe ni lile bakuli au hela?

Kama huelewi nyie hata mchukue kombe mtaanbulia 2.9B wakati hiyo ni pesa ambayo anachukua mshindi wa pili aliyecheza Club Bingwa.
Acha uchawi bro, tunaweka rekodi em kuweni wapole.... mfikirie FA ya azam ndio kumbe mnaloshindania mpk sasa.
 
View attachment 2596907

ANAITWA NAZIRU AUWALU mshambuliaji wa TIMU YANGU YA UTOTONI YA RIVERS UNITED ya Nigeria [emoji1184] huko huyu anafunga hata akiwa benchi anakabwa na mabeki 7 mechi 10 anagoli 48 kacheza Aston Villa kila la kheri RIVERS UNITED amesema asipofunga leo anaacha kucheza mpira RIVERS UNITED NGUVU MOJA[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1184][emoji1184][emoji1184]
Sawa sawa
 
Wewe ndio hujui.

Sasa unafikiri kombe ni lile bakuli au hela?

Kama huelewi nyie hata mchukue kombe mtaanbulia 2.9B wakati hiyo ni pesa ambayo anachukua mshindi wa pili aliyecheza Club Bingwa.
We ndio una akili ndogo. Kinachogombewa ni kombe, pesa ni bonasi tu. Halafu unavyoongea utafikiri kombe la shirikisho hawapewi hela. Nyie makolo mna shida sana.
 
Back
Top Bottom