Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaa. Jf raha sana bestie.Mwenyeji kabisa huyo maana ID imeachwa sekunde tu keshaidaka😂😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa. Jf raha sana bestie.Mwenyeji kabisa huyo maana ID imeachwa sekunde tu keshaidaka😂😂😂😂😂
🙏🙏🙏🙏🙏🙏Michezo furaha ndio maana tunafurahi wote hapa...utani wa hapa na pale lazma uwepo ili kuchagiza uzi usipoe
Kwa Ile ID Jamaa kazingua kuibadili anaonekana mgeni na ID yake mpya. Kapoteza brand.Mwenyeji kabisa huyo maana ID imeachwa sekunde tu keshaidaka😂😂😂😂😂
AaaahahaaaIla sio Simba mmeshapasuka
Say again..😅Out of my bell shall flow RIVERS
RIVERS of living water iyaa iyaa eeh.
KILA LA KHERI RIVERS UNITED
Dua yangu imefeli...ila nitaendelea kuonba zaidi.Rekebisha kwanza haya maandishi yako. Wapigwe, au wapige?
InshallahTuombeani klabu zetu zote mbili zisonge mbele mkuu
Wazee wa historia.Hamna kipya mnaweza kufanya ambacho simba hajawahi kufanya, Simba ameshacheza fainali ya hilo kombe
Bado Simba tunamsubiri FAHuu ni mwaka wa kisasi. Yeyote atakayeingia kwenye 18 za Wananchi, anapasuliwa. Timu zote mwaka huu mtaziita vibonde kudadek zenu.
Dakika 96, no shots on target!! Kwenye goli 2, hakika umepatia.Za ndani zinasema rivers mazoezi yao huwa wanafanyia kwenye mto
Sasa kama shuti la kwenye maji tu kipa anababuka mikono je uwanjani itakuaje?😁😁
Leo naona kabisa shaolin soccer 2 inatoka
Ahsante kwa kuliona hilo Mtani.Mtani leo match ilikua yenu, na ball limetembeaa, kwanza bao la 2, ndo nimelikubaliii sio kwa mchoro ulee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndivyo mnavyojifarijiMorocco kwa waanaume sikwa kimbe la luza kule..
Simba kashatoka, mapema tu.Tuombeani klabu zetu zote mbili zisonge mbele mkuu
Dah! Yanga ni kama maji. Usipoitaka, utaishije mkurugenzi!!Dua yangu imefeli...ila nitaendelea kuonba zaidi.
Natamani Young African apigwe nne bila kwa mkapa Tarehe 30 April, 2023.
Mimi siyo mnafiki, siipendi Young AfricanView attachment 2597269
Ila hamkuchukua kombeHamna kipya mnaweza kufanya ambacho simba hajawahi kufanya, Simba ameshacheza fainali ya hilo kombe
Kwa Ile ID Jamaa kazingua kuibadili anaonekana mgeni na ID yake mpya. Kapoteza brand.
Hili ndio la msingiTuombeani klabu zetu zote mbili zisonge mbele mkuu
Siyo kweli...Dah! Yanga ni kama maji. Usipoitaka, utaishije mkurugenzi!!
Bestie na Chama Baleke. 🤣🤣🤣🤣