FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Acha uchawi bro, tunaweka rekodi em kuweni wapole.... mfikirie FA ya azam ndio kumbe mnaloshindania mpk sasa.
Mimi sijakataa nyinyi kuweka rekodi, wekeni tu hilo ni jambo jema

Ila nilikuwa nafanya evaluation wa jinsi mashindano haya hayawezi kuwa level sawa na Club Bingwa kutokana ubora wa mashindano ya Club Bingwa
 
hawa rivers utd uwezo wao ni sawa na mtibwa sugar,hata azam na singida ni bora xana kwa hawa jamaa nashindwa kuelewa walifikaje hapa kweli uchawi upo,
 
Ahmed ally: natangadha lathmi ile fulaha ya kumfunga yanga na wydad imesitishwa na wananchi kwa muda usiojulikana, hivo mashabiki wa thimba kuweni wavumilivu tukiendelea kuwathiliana na mamlaka ya wananchi angalau watulegedhee kidogo mateso
 
Mashabiki wa Yanga mie hizo vurugu zenu ndo nakua hoiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Khaaaaaah
 
We ndio una akili ndogo. Kinachogombewa ni kombe, pesa ni bonasi tu. Halafu unavyoongea utafikiri kombe la shirikisho hawapewi hela. Nyie makolo mna shida sana.
Cheki huyu

Kombe ni ishara, thamani ipo kwenye hela

Unafikiri kwanini mapinduzi Cup haishobokewi wakati ni kombe?
 
Kula chuma hicho
 

Attachments

  • 1682262732093.jpg
    1682262732093.jpg
    47.8 KB · Views: 3
Sipati picha kale ka semaji ka uto mpk nyama ziota leo hahaha.....
Ila jamani bado sio sawa na kumfunga Wydad ilo tuliweke sawa
 
hawa rivers utd uwezo wao ni sawa na mtibwa sugar,hata azam na singida ni bora xana kwa hawa jamaa nashindwa kuelewa walifikaje hapa kweli uchawi upo,
Huu uchambuzi mlitakiwa kuutoa hapo kabla. Kitendo cha kuanza kuleta uchambuzi wa mchongo baada ya mechi, kunawasababisha muonekane nyinyi ni mbumbumbu.

Mbona jana mlipowafunga Wydad, hatukusema ni sawa tu na Mtibwa, Azam au SBS? Muwe na desturi ya kuwaheshimu wenzenu wanapofanya vizuri.
 
Back
Top Bottom