financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Yani unawaza mbususu tu mkuu wangu,haya endelea kuenjoy mineso , ila Yanga kaua mtu leo[emoji2]Ah wee mie nipo nanesa juu ya msambwanda wa mrembo wa yanga.
Hongereni wananchi mpo vizuri. Final mnacheza
Uwanja wa CASABLANCA uonekanavyo wageni wanapofika nasikia mtaanzia goli la chini.Group la loosers hakuna teams nzuri zote mbovue
Ubishi mwingine ni kujitia aibu tuKweli mkuu wacha kabisa
Morrison ni Tapeli wa kiwango cha soka aliyekubuhu hadi shetwani anamuogopa [emoji23]Morrison akamatwe haraka
Mara ya kwanza na ya mwisho utopolo anacheza makundi ya Cafcl ulikuwa umeshazaliwa ?Lile kombe lenu la kimataifa la robo fainali limekuwa la loser leo
Muulize mama yako anajuaMara ya kwanza na ya mwisho utopolo anacheza makundi ya Cafcl ulikuwa umeshazaliwa ?
We endelea kuona kichaka na kujifariji kuwa kombe sio hela kama mwenzakoKichaka pekee mlichobaki nacho
Bingwa mtetezi alishafungwa na Rivers,Nimetoka kumfunga Bingwa mtetezi wa Cafcl leo niumie na losers wawili wanaoruka ruka
Sasa Hasira za nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muulize mama yako anajua
😂😂😂Maneno ya mkosaji tafuteni jipya ...pyeeeeee 😂😂😂😂😂😂😂
Chukueni nyie hiyo nyingiWe endelea kuona kichaka na kujifariji kuwa kombe sio hela kama mwenzako
Ndio maana kabla ya Azam, TPL ilikuwa na kombe ambalo lina worth 80M.
Hiyo ni pesa ndogo sana. Wala haikufanya lile likasha liwe lina cha ziada ku-bust thamani ya ubingwa.
Now at least hela imeongezeka na kufanya mashindano yawe na thamani.
Thamani imekuja kuonekana kwasababu ya pesa sio kasha lenye muonekano wa mashine ya kusagia unga.
Jifunzeni
Kumbe vibonde ndiyo walimpiga Widad Casablanca 2-1 na wakafika robo fainali ya CAFCC 2023? [emoji1]Yanga wamejipatia vibonde aisee...
Washindwe wenyewe
Kwani kumuulza mama yako vibayaSasa Hasira za nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah[emoji1787]Kama wana akili bora wasije Dar
Muulize Mama yako wewe sababu mama yangu hajakuzaa na hawezi kuzaa kilaza kama weweKwani kumuulza mama yako vibaya
KweliIla hawa Rivazi ni vibondeee..yani kundi zima vibondeee
Wape Heshima yanga wewe, Ndiyo klabu ya kwanza East Africa kucheza Robo fainali CAF, na kama haitoshi ndio klabu yenye makombe mengi ligi kuu na iliyowahi kushinda ubingwa ligi kuu mara tano mfulululizo, kama haitoshi ndio klabu ya kwanza kuuza mchezaji Ulaya SUNDAY manara, wewe kunifunga derby moja ndani ya miaka mitatu unapiga makelele pye pye pyeMara ya kwanza na ya mwisho utopolo anacheza makundi ya Cafcl ulikuwa umeshazaliwa ?
Huu mda utumie kuandaa vikapu Morocco droo pekee iliyopo ni ya kabati.Muulize Mama yako wewe sababu mama yangu hajakuzaa na hawezi kuzaa kilaza kama wewe
Huwezi kufa Mtani, tunakuombea maisha marefu sana kwa Mungu ili huo ulibwende uliojaliwa na Muumba ufaidiwe na Mwenye mali [emoji2]Twafwaaaaaaaaaaaaaaaa