Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Hata zingechezwa dk 300 Rivers wasingepiga shot on target hata mojaSawa sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata zingechezwa dk 300 Rivers wasingepiga shot on target hata mojaSawa sawa
Mbumbumbu anaponyanyasika namna hii huwa najikuta niko mbinguni kabisaaa kwa jinsi ninavyohisi raha [emoji847]Club Bingwa kugumu yani chochote unachokupata kwenye hii hatua ni big worth
Umefuuga timu ha viwete basi unaviiimbaa unajiona Bayern hapo ulipo
Hatari hii ya ga inacheza final mtafute hela tuu wananchi mkacheki finalYani unawaza mbususu tu mkuu wangu,haya endelea kuenjoy mineso , ila Yanga kaua mtu leo[emoji2]
Ndio maana tunasema Utopolo wamecheza na vibonde.Hata zingechezwa dk 300 Rivers wasingepiga shot on target hata moja
Ile timu imejichokea tuuHata zingechezwa dk 300 Rivers wasingepiga shot on target hata moja
Heshima ya timu inajengwa na vikombe vnavyotambulika na CAF/FIFA. ukiingia kutafuta profile ya timu utaona umeweka domestic cups na CAF interclub cups. Hizo pesa wewe kama mshabiki zinakusaidia nini? Au Mo anazigawaga kwa mashabiki pesa zinazovunwa? Shabiki raha yake ni vikombe sio pesa.Unfortunately you can't have both
Umechagua sifa na kuacha mkwanja
Ndio maana tunasema Utopolo wamecheza na vibonde.Hata zingechezwa dk 300 Rivers wasingepiga shot on target hata moja
Basi raha yako imeegemea kwenye vitu vya kijingaMbumbumbu anaponyanyasika namna hii huwa najikuta niko mbinguni kabisaaa kwa jinsi ninavyohisi raha [emoji847]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mkuu sina jinsi ya kuielezea furaha nilio nayo maana leo mimi nikajua kwaheri hivyo mchana nikaamua kuzima kabisa data mpaka muda huu na sikutaka hata kujua nini kinaendeleaTumeshinda mkuu
Nimeamini ila sio kwa hapa bongoUchawi hauchezi mpira
Maswali ya kiwaki hayaHeshima ya timu inajengwa na vikombe vnavyotambulika na CAF/FIFA. ukiingia kutafuta profile ya timu utaona umeweka domestic cups na CAF interclub cups. Hizo pesa wewe kama mshabiki zinakusaidia nini? Au Mo anazigawaga kwa mashabiki pesa zinazovunwa? Shabiki raha yake ni vikombe sio pesa.
Mbumbumbu wakiwa vijiweni kuichambua Yanga FC 2022/2023..Kwasababu kile kipindi kulikuwa na timu ngumu.
Jiulize kwanini wewe kile kipindi hukuweza kufika hata makundi?
Mbumbumbu ni timu pekee yenye kombe la robo fainali duniani rage hakukoseaMbumbumbu wakiwa vijiweni kuichambua Yanga FC 2022/2023..
1. Yanga FC itatoka kwenye makundi CAFCC...Matokeo [emoji736]
2. Yanga FC hafiki robo fainali fainali CAFCC... Matokeo [emoji736]
3. Yanga itapokea kichapo kwa Rivers Utd nnje ndani CAFCC... Matokeo ya ugenini [emoji736]
Hakika ukiwa Mshabiki wa Simba huwezi kujitenga kabisa na roho mbaya (uchawi).
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sasa Berkane uliyemuona ndio mzuri kipindi chenu na kawatimulia vumbi hadi kombe kabeba, ila huku aka ku prove wrong. Kakutana na Monastir akamsukumia nje huko. Huyo Orlando pirates hata kufuzu hakufuzu, Asec mimosa ndio pekee yupo hadi sasa, ila wengine wote wamekutana na moto wamekula kona.Nawewe ambaye ulishiriki na haukuweza kufika hatua ya robo tukuiteje?
Afu kile kipindi timu zilikuwa ngumu, imagine unacheza na Rs Berkane unacheza na Orlando
Na ukicheki hizo timu zote baada ya kutufunga sisi zote zilifika fainali.
Hiyo ina maanisha kipindi hicho kulikuwa na ugumu.
Hata saizi hakuna mpinzani uliyecheza naye mwenye kufikia hata nusu ya hao wawili
Uchambuzi ulianza kwenye mashindano mliyoanziaMbumbumbu wakiwa vijiweni kuichambua Yanga FC 2022/2023..
1. Yanga FC itatoka kwenye makundi CAFCC...Matokeo [emoji736]
2. Yanga FC hafiki robo fainali fainali CAFCC... Matokeo [emoji736]
3. Yanga itapokea kichapo kwa Rivers Utd nnje ndani CAFCC... Matokeo ya ugenini [emoji736]
Hakika ukiwa Mshabiki wa Simba huwezi kujitenga kabisa na roho mbaya (uchawi).
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hatujakataa, ila kumbuka jana nilikupongeza kwa ushindi dhidi ya Widad Casablanca, basi nipee nami pongezi hata kinafki tu Mtani [emoji4][emoji2960]Uto tulizeni ngengaaaa Nusu fainali hamuingii
Bwaaaaaaaaaaaaaaah........[emoji1787]Hata kama hawafiki lakini wangefungwa leo na juzi mlifurahi, leo mgekula pilau hasa. Mungu mkubwa
Hao akina Orlando walikua wababe wakati wenu. Kwa sasa ni vibonde tu, ndio maana hata hawajafuzu.Nawewe ambaye ulishiriki na haukuweza kufika hatua ya robo tukuiteje?
Afu kile kipindi timu zilikuwa ngumu, imagine unacheza na Rs Berkane ambayo ipo kwenye ubora unacheza na Orlando Pirates ambao huko SA ni tishio