FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Unfortunately you can't have both

Umechagua sifa na kuacha mkwanja
Heshima ya timu inajengwa na vikombe vnavyotambulika na CAF/FIFA. ukiingia kutafuta profile ya timu utaona umeweka domestic cups na CAF interclub cups. Hizo pesa wewe kama mshabiki zinakusaidia nini? Au Mo anazigawaga kwa mashabiki pesa zinazovunwa? Shabiki raha yake ni vikombe sio pesa.
 
Maswali ya kiwaki haya

Kwani kombe we mshabiki linakusaidia nini?

Hapa tunaangalia thamani ha kile ulichokipata sio title.

Wewe ukipata kombe lenye thamani ya 10M kwenye mashindano yenye kuhusisha team zenye Quality ya kina Namungo, huwezi ukawa sawa na yule aliyepata 1.5B baada ya kufika robo fainali ya Club Bingwa.
 
Kwasababu kile kipindi kulikuwa na timu ngumu.

Jiulize kwanini wewe kile kipindi hukuweza kufika hata makundi?
Mbumbumbu wakiwa vijiweni kuichambua Yanga FC 2022/2023..

1. Yanga FC itatoka kwenye makundi CAFCC...Matokeo [emoji736]

2. Yanga FC hafiki robo fainali CAFCC... Matokeo [emoji736]

3. Yanga itapokea kichapo kwa Rivers Utd nnje ndani CAFCC... Matokeo ya ugenini [emoji736]

Hakika ukiwa Mshabiki wa Simba huwezi kujitenga kabisa na roho mbaya (uchawi).

Sent from my CPH2387 using

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mbumbumbu ni timu pekee yenye kombe la robo fainali duniani rage hakukosea
 
Sasa Berkane uliyemuona ndio mzuri kipindi chenu na kawatimulia vumbi hadi kombe kabeba, ila huku aka ku prove wrong. Kakutana na Monastir akamsukumia nje huko. Huyo Orlando pirates hata kufuzu hakufuzu, Asec mimosa ndio pekee yupo hadi sasa, ila wengine wote wamekutana na moto wamekula kona.
 
Uchambuzi ulianza kwenye mashindano mliyoanzia

Hamkuanzia shirikisho.

Sijaona sehemu ambayo umeelezwa uchambuzi kuhusu Yanga kutolewa Club Bingwa

Ni kwasababu unajua kuwa ilikuwa ni fact.

Lakini kama hujui, waliokuwa wakwanza kusema Yanga itatolewa kwenye shirikisho, mlikuwa ni nyinyi mashabiki.

Baada ya mechi yenu hapo kwa Mkapa kuisha kwa sare, mashabiki mlijitokeza mbele ya Camera mkiwa na hasira na kukosa matumaini ya kufika mbali.

Hayo sijui kama hata unayakumbuka
 
Hao akina Orlando walikua wababe wakati wenu. Kwa sasa ni vibonde tu, ndio maana hata hawajafuzu.

Hawa waliopo ndio wababe wa sasa,na ndio mmaana wamefuzu na kufika hapo. Japo wakikutana na dude la kutisha la kuitwa Yanga, wanapoteana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…