FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Hiyo 10 ni typo. Nina maana wachezaji hao unaowaita team B nao wamesajiliwa. Sijawahi kusikia team imesajili wachezaji wanaoitwa team B.
Team B au kikosi cha vijana ni kile kikosi ambacho kina uwezo mdogo kuliko hiki kikosi rasmi.

Mantiki ya kikosi hiki ina act kama sehemu ya kumkuzia mchezaji kumuandaa kwa ajili ya kuja kucheza kikosi rasmi

Kwa maana hiyo mashindano muhimu yanachezwa na wachezaji muhimu.

Sasa kwenye mapinduzi wachezaji muhimu wengi walipewa likizo na ambao walipata bahati ya kucheza walicheza muda mfupi hiyo ni kuepusha injuries ambazo zinaweza kuwafanya wakae nje na kukosa mechi muhimu.

Hivyo, ingekuwa ni kombe muhimu basi silaha zote hizo zingeshiriki.
 
Hivi unafahamu kama hawa unaowaita viwete, walimpiga 2-1 hapo nyumbani kwao wauaji wenu wa Wydad Casablanca?

Kumbuka Ijumaa ijayo siyo mbali!
Umechelewa kusoma, nimetolea mchanganuo swala hilo na wenzako wameelewa
 
Wydad jana waliwasha mimoshi jukwaani ila kwasababu sisi ni wazungu hamkusikia maneno ya kuhusisha jambo hilo na ushirikina
Majukwaani kawaida hata ulaya sometimes tunaonaga ile ya katikati ya uwanja ile style yenu peke yenu.
 
Sasa pyramid tunae mtaka ana pelekewa moto ukoo ..watupe As far tu .mbabe wa Morocco
 
Ni kweli walikuwa wababe kwasababu walikuwa na kikosi kizuri kuliko.walivyo sasa.

Team ambayo imeendelea kuwa na consistency ya kuwa na wachezaji wazuri naweza kusema ni Pyramids.

The rest ni wenzenu tu
Hao Pyramids wako tayari wameshatanguliwa na wapo kwao.
 
Hao Pyramids wako tayari wameshatanguliwa na wapo kwao.
Mdau kanipa habari hapo juu

Imenistua sana tena ukicheki nafasi ya timu kwenye kigi kuu ilivyokuwa ya mashaka.

Sijaangalia game sijui hata wamepataje hilo bao ila kwa possession ya 60 kwa 40 nadhani kivyovyote itakuwa ni counter

Counter ni pigo ambalo linatumiwa na timu yenye uwezo mdogo.

Ngoja tuone matokeo ya mwisho yatakuwaje
 
Moshi wa jana mpaka mechi kusimama ni vibe ila kile kimoshi cha fegi ni ushirikina?
Sasa wewe tokea uanze kutizama mpira umeona wapi watu wameikusanya wanaota moto katikati ya uwanja kama si Simba.

Mashabiki wengi hasa wa Uarabuni huwaga wanawasha mafataki ni kawaida tena yale ya taifa machache ngojea muende Morocco ndipo utaona vizuri.
 
Moshi wa jana mpaka mechi kusimama ni vibe ila kile kimoshi cha fegi ni ushirikina?
Nyie ni wachawi Pro max mna geuza uwanja kiringe
533691385.jpg
 
Sasa wewe tokea uanze kutizama mpira umeona wapi watu wameikusanya wanaota moto katikati ya uwanja kama si Simba.

Mashabiki wengi hasa wa Uarabuni huwaga wanawasha mafataki ni kawaida tena yale ya taifa machache ngojea muende Morocco ndipo utaona vizuri.
Kila mtu na utaratibu wake mzee

Kama ndio hivyo piga marufuku matumizi ya moto na mimoshi watu waelewe moshi na moto ni illegal.

Ile mimoshi ya jana ilikuwa na effects kwenye mchezo, kile kimoshi cha south hata hakikuwa na effects zozote kwenye mchezo.
 
Back
Top Bottom