joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hiyo nafasi mliipata mkasafiri na kuni na kuota moto katikati ya uwanja.Simba ingekutana na Rivers United saizi mipango ingekuwa kwenye fainali
Hawa ndugu zetu wana bahati sana ila hawajajua tu.
Rivers United angepigwa 7 na kila mtu angesema "wamepuliziwa sumu kwenye vyumba vyao", "Rivers United wabovu"
Team B au kikosi cha vijana ni kile kikosi ambacho kina uwezo mdogo kuliko hiki kikosi rasmi.Hiyo 10 ni typo. Nina maana wachezaji hao unaowaita team B nao wamesajiliwa. Sijawahi kusikia team imesajili wachezaji wanaoitwa team B.
Wydad jana waliwasha mimoshi jukwaani ila kwasababu sisi ni wazungu hamkusikia maneno ya kuhusisha jambo hilo na ushirikinaHiyo nafasi mliipata mkasafiri na kuni na kuota moto katikati ya uwanja.
Ni kweli walikuwa wababe kwasababu walikuwa na kikosi kizuri kuliko.walivyo sasa.
Team ambayo imeendelea kuwa na consistency ya kuwa na wachezaji wazuri naweza kusema ni Pyramids.
The rest ni wenzenu tu
Umechelewa kusoma, nimetolea mchanganuo swala hilo na wenzako wameelewaHivi unafahamu kama hawa unaowaita viwete, walimpiga 2-1 hapo nyumbani kwao wauaji wenu wa Wydad Casablanca?
Kumbuka Ijumaa ijayo siyo mbali!
Wale viwete walimpiga wydad mbili,Kama vipi ombeni CAF tukawachezee mechi yenu na wydad huko arabuniUwezo kwa upinzani gani?
Hivi hauoni hata aibu?
Wale viwete ni wakuwapigia hesabu kweli?
Majukwaani kawaida hata ulaya sometimes tunaonaga ile ya katikati ya uwanja ile style yenu peke yenu.Wydad jana waliwasha mimoshi jukwaani ila kwasababu sisi ni wazungu hamkusikia maneno ya kuhusisha jambo hilo na ushirikina
Mpira unaendelea na sijaucheki.Pyramids imeshagungwa tena kwao
Sio jambo geninwe kuliongea hapa, lishajadiliwa limeisha.Wale viwete walimpiga wydad mbili,Kama vipi ombeni CAF tukawachezee mechi yenu na wydad huko arabuni
Hao Pyramids wako tayari wameshatanguliwa na wapo kwao.Ni kweli walikuwa wababe kwasababu walikuwa na kikosi kizuri kuliko.walivyo sasa.
Team ambayo imeendelea kuwa na consistency ya kuwa na wachezaji wazuri naweza kusema ni Pyramids.
The rest ni wenzenu tu
Moshi wa jana mpaka mechi kusimama ni vibe ila kile kimoshi cha fegi ni ushirikina?Majukwaani kawaida hata ulaya sometimes tunaonaga ile ya katikati ya uwanja ile style yenu peke yenu.
Mdau kanipa habari hapo juuHao Pyramids wako tayari wameshatanguliwa na wapo kwao.
Sasa wewe tokea uanze kutizama mpira umeona wapi watu wameikusanya wanaota moto katikati ya uwanja kama si Simba.Moshi wa jana mpaka mechi kusimama ni vibe ila kile kimoshi cha fegi ni ushirikina?
Aibu anaona Mo..!!Hawa kenge wa kijani leo wanafia ugenini,nasemaje kinyesi fc akishinda leo niiteni bilionea
Nyie ni wachawi Pro max mna geuza uwanja kiringeMoshi wa jana mpaka mechi kusimama ni vibe ila kile kimoshi cha fegi ni ushirikina?
Moshi wa jana mpaka mechi kusimama ni vibe ila kile kimoshi cha fegi ni ushirikina?
Kila mtu na utaratibu wake mzeeSasa wewe tokea uanze kutizama mpira umeona wapi watu wameikusanya wanaota moto katikati ya uwanja kama si Simba.
Mashabiki wengi hasa wa Uarabuni huwaga wanawasha mafataki ni kawaida tena yale ya taifa machache ngojea muende Morocco ndipo utaona vizuri.