Mechi ya jana pale kwa Mkapa uliangalia?Nyie ni wachawi Pro max mna geuza uwanja kiringe View attachment 2597394
Olando ni tofauti na hao viwete.
Huo nao unauita utaratibu huoni mlipigwa faini ya dola 10 elfu au kama utaratibu mzuri mbona hamu hurudii.Kila mtu na utaratibu wake mzee
Kama ndio hivyo piga marufuku matumizi ya moto na mimoshi watu waelewe moshi na moto ni illegal.
Ile mimoshi ya jana ilikuwa na effects kwenye mchezo, kile kimoshi cha south hata hakikuwa na effects zozote kwenye mchezo.
Eeh si kwasababu ya wanoko walienda kulalamika kuwa wameharibiwa uwanja.Huo nao unauita utaratibu huoni mlipigwa faini ya dola 10 elfu au kama utaratibu mzuri mbona hamu hurudii.
Hesabu za Yanga ni kuifunga mdomo Simba kimya kimya! Tumeanza na Ligi za Tanzania tumewanyang'anya makombe yote la NBC, Azam Federation na Ngao ya jamii.Kabati la makombe Simba limejaa vumbi second year aibu sana!Ukiwa broke utaona kupewa 100 ni bonge ya love.
Lakini kwa tajiri hiyo ni dharau.
Mtu ambaye anapata 1.5B kwenye michuano migumu ambayo sio rahisi wewe mwenye 500M ya NBC kuipata, utasemaje mwenye 500M ameheshimika?
Utaona ni heshima kwasababu ya umasikini wako, na ndio maana kila zinapotolewa rank za timu bora Africa haujawahi kutajwa licha ya kwamba una heshima ya kombe la NBC.
Mashindano makubwa hapa Afrika ni Club Bingwa tu.
Yeyote anayefanya vizuri kwenye hii michuano ndio mwenye nafasi kubwa ya kujimilikisha heshima.
Ni kweli mshindi wa confederation anachukua pesa nyingi kidogo kumzidi yule aliyefika robo ya Club Bingwa.
Lakini we jiulize, kwanini kuna gape dogo kwenye hiyo pesa kati ya mshindi wa federation na aliyetolewa kwenye robo ya Club Bingwa?
Maana yake ni kwamba huyu wa Club Bingwa akiwa katika hatua za chini anakuwa amefanya kazi kubwa sana ambayo ili kuilinganisha na level za confederation basi ni mpaka uongeze level mbili au tatu za juu ndio upate ratio sawa.
Cheki naye huyuHesabu za Yanga ni kuifunga mdomo Simba kimya kimya! Tumeanza na Ligi za Tanzania tumewanyang'anya makombe yote la NBC, Azam Federation na Ngao ya jamii.
Shirikisho tunajenga uzoefu mashindano ya kimataifa na kubeba kombe Kisha ligi ikiisha tunaingia ligi ya mabingwa kwa kishindo na Hakimi bin Mbumbumbu fc mtakaa kimya, muda utaongea!
Mkikandwa week (7-0) huko Morocco mje kushtaki mi nimekaa paleeee!!
Wanoko tena wakati Kamera za CAF ziliwaona au siku hizi Camera nazo zimekuwa za kinoko.Ule moshi uliharibu pitch ya watu, wenzenu kila mwaka wanarekebisha pitch, nyinyi mshazoea fujo na ndio maana hata kwa Mkapa mling'oa viti.Eeh si kwasababu ya wanoko walienda kulalamika kuwa wameharibiwa uwanja.
Sasa na sisi tukisema ule moshi ulileta damage kwenye mapafu ya wachezaji, unafikiri faini itakuwa ya bei gani?
Ni uzungu tu
Camera ya CAF sio sababu, yapo matukio mengi yameshuhudiwa na Camera na bado hayakuwahi chukuliwa sheria hiyo.Wanoko tena wakati Kamera za CAF ziliwaona au siku hizi Camera nazo zimekuwa za kinoko.Ule moshi uliharibu pitch ya watu, wenzenu kila mwaka wanarekebisha pitch, nyinyi mshazoea fujo na ndio maana hata kwa Mkapa mling'oa viti.
Ila wewe si umechukuliwa hatua maana yake umeonekana.Camera ya CAF sio sababu, yapo matukio mengi yameshuhudiwa na Camera na bado hayakuwahi chukuliwa sheria hiyo.
Wanoko ndio waliotuchomesha
Ndio nini hivho umeweka?Scars Chama Baleke ahahaaaaaa
Hao unaowaita viwete, walishawahi mtwanga Waydad 2 kwa 1Olando ni tofauti na hao viwete.
Mpira umeanza kudharaulika now
Ndio nini hivho umeweka?
Yani unafirahia kutopangwa ma Wydad kwasababu unaogopa kufungwa?
Sasa kipimo cha kusema wewe ni bora kitakuwa ni nini kama mechi ngumu kama hizo unaziogopa?
Ni lini wewe utakutana na mechi kubwa kama hiyo?
Pale wachawi wanapopambana kuhalalisha matendo ya kichawiKila mtu na utaratibu wake mzee
Kama ndio hivyo piga marufuku matumizi ya moto na mimoshi watu waelewe moshi na moto ni illegal.
Ile mimoshi ya jana ilikuwa na effects kwenye mchezo, kile kimoshi cha south hata hakikuwa na effects zozote kwenye mchezo.
Rekodi ya Wydad home games hakika inatisha sana sijaona tu timu ikipigwa wiki ila kwa Simba hii mbovu ya Mzee Onyango na mwanae Bocco, huko Morocco Simba isipokandwa 7-0 mi nahamia Zuwena fc!Ndio nini hivho umeweka?
Yani unafirahia kutopangwa ma Wydad kwasababu unaogopa kufungwa?
Sasa kipimo cha kusema wewe ni bora kitakuwa ni nini kama mechi ngumu kama hizo unaziogopa?
Ni lini wewe utakutana na mechi kubwa kama hiyo?
Maana yake kuna wanoko, hata ule moshi wa jana Camera ziliona.Ila wewe si umechukuliwa hatua maana yake umeonekana.
Level hizi waoga haziwafai.Rekodi ya Wydad home games hakika inatisha sana sijaona tu timu ikipigwa wiki ila kwa Simba hii mbovu ya Mzee Onyango na mwanae Bocco, huko Morocco Simba isipokandwa 7-0 mi nahamia Zuwena fc!
Dini gani wewe?Pale wachawi wanapopambana kuhalalisha matendo ya kichawi
Wydad aliyecheza siku hiyo alipeleka kikosi kibovuHao unaowaita viwete, walishawahi mtwanga Waydad 2 kwa 1