FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Level hizi waoga haziwafai.

Waoga wote walishatolewa

Wydad mwenyewe huko aliko anakuna kichwa
Huyu Wydad anakuna kichwa kwako, haya uzuri JF tupo hii comment nimeihifadhi,najua mtatukana Onyango the wonder kid siku hiyo.
 
Level hizi waoga haziwafai.

Waoga wote walishatolewa

Wydad mwenyewe huko aliko anakuna kichwa
Mashabiki wa Simba mnaongoza duniani kwa kujiamini hakika kweli Rage aliona wao wote ni mbumbumbu fc, yaani kweli Simba anaweza kumla tembo mkubwa? Sidhani!

Mkikoswa 7 mtapigwa 5 bila! Mvua hakuna kule pakaaaavu mpira unatembea tu kapu litajaa magoli!
 
Huyu Wydad anakuna kichwa kwako, haya uzuri JF tupo hii comment nimeihifadhi,najua mtatukana Onyango the wonder kid siku hiyo.
Isikupe shida kuna mwenzako jana alihifadhi komenti yangu kwa ajili ya mechi ya baadaye lakini baada ya mechi akatokomea.

Eti adriz ile risiti yako umefungia mabumunda?
 
Uzuri, unakubaliana na ninachokisema..!! Kikosi gani kimepelekwa haituhusu. Labda kama unasema WAYDAD WAMESAJILI MAGALASA
Timu zote kubwa zina wachezaji ambao sio tegemeo.

Hakuna timu ambayo wachezaji wote hadi wanaokaa benchi ni wakali.
 
Polimilai
 
Unajionaje huko kolo ulipo saiv nabii wa uongo
 
Haya tupo hapa maana Onyango The wonder kid lawama mechi na Raja alipewa yy kumbe mwenzenu alikuwa hajala daku.
Hata ikitokea tumefungwa haiwezi kuwa story kubwa.

Nyinyi mlifungwa hatua za mwanzoni na mkatolewa kabisa bila kupewa chochote lakini mbona ugali mlikula?

Sasa sembuse sisi ambao tukitoka tunapewa na mikwanja ambayo nyinyi hampati labda mfike fainali
 
Sawa ila nafasi tuliyo ipata tunaitumia vizuri na si kama nyie mlioota moto katikati ya uwanja.

Hela sio lengo letu, sisi tunalitaka kombe.
 
Sawa ila nafasi tuliyo ipata tunaitumia vizuri na si kama nyie mlioota moto katikati ya uwanja.

Hela sio lengo letu, sisi tunalitaka kombe.
Nafasi mliyoipata sio kushiriki, nafasi mliyoipata ni kupangwa na viande.

Kwani unafikiri kwanini kwenye Club Bingwa kulikushinda wakati nafasi ulipata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…