OOoh kumbe kuhusu hilo...Yaani kila inapocheza Yanga, basi lazima mkimbilie kuanzisha uzi! Kwa nini msiache nafasi kwa Wananchi wenyewe akina Joseverest na wengineo wengi kutuanzishia uzi wenye misingi ya kiuwananchi?
Jambo hili halijakaa sawa hata kidogo.
Mimi nalog out...Nimefanyaje tena Mtani jamani? Ebu sikiliza kwanza mziki wa "Jirani yangu nimekukosea nini" labda utasuuzika nyongo [emoji2]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Punguza mambo ya kichawichawi mkuuHuko Nigeria, Yanga itapoteza kwa magoli mawili kisha hapa Dar-es Salaam game itakuja kuisha kwa sare ya 1-1.
Sasahivi tupo hapa na nyinyi ila nina uhakika baada ya game kuanza mtajificha kwenye mashimo yenu kama panya, tusipokuwepo huu uzi hautatembea.Mashabiki wa simba kwa ukiherehere tu, hamjambo.
Huwa kuna fedha zinatolewa kwa muanzisha uzi?Yaani kila inapocheza Yanga, basi lazima mkimbilie kuanzisha uzi! Kwa nini msiache nafasi kwa Wananchi wenyewe akina Joseverest na wengineo wengi kutuanzishia uzi wenye misingi ya kiuwananchi?
Jambo hili halijakaa sawa hata kidogo.
Makolokolo hamuwezi kujutenga na umbumbumbu hata kidogo, kwani lazima Mtu awe anaangalia mpira huku akiwa anachangia chochote kwenye uzi huu?Sasahivi tupo hapa na nyinyi ila nina uhakika baada ya game kuanza mtajificha kwenye mashimo yenu kama panya, tusipokuwepo huu uzi hautatembea.
Heshima bila kombe lolote ni ulofa pro max.Yanga wafungwe ili heshima iwepo
Asante Mama.Mimi nalog out...
Niwatakie maandalizi mema nitarudi saa 12 jioni
Kuna sehemu nimesema ni lazima ufanye hivyo?Makolokolo hamuwezi kujutenga na umbumbumbu hata kidogo, kwani lazima Mtu awe anaangalia mpira huku akiwa anachangia chochote kwenye uzi huu?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Alama 3 za nini sasa? Kwani hii ni hatunaya makundi hadi pawe na alama?Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia.
Hapa nawazungumzia Young Africans
Baada ya kupokea kichapo kikali toka kwa mahasimu wao simba Sports Club
leo mida ya saa 10:00 JIONI.
Wananchi wenye nchi yao YOUNG AFRICANS watashuka pale dimba la ESTADIO DE GODSWILL AKPABIO nchini NIGERIA kutafuta alama tatu za ushindi mnono ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia nusu fainal kwa mara ya kwanza katika fainali ya michuano ya Shirikisho barani Afrika.
Ikumbukwe kuwa hawa walishakutana katika michezo miwili huko View attachment 2596897
Timu ya Rivers united iliichakaza vibaya sana wananchi kwa kuwafunga nyumbani na ugenini mchezo wa leo utakuwa mkali kwa timu zote.
Kila la kheri YANGA