FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Rivers vs Young Africa 0-1 only if akianza na Aziz halafu captain wao mwamnyeto asicheze
 
Mzee wa mikimbio naona leo ameanza

Atakuwa na wakati mzuri sana ila kusiwepo na mpinzani mwenye vinasibu vinavyofanana na Kibu.

 
Mzee wa mikimbio naona leo ameanza

Atakuwa na wakati mzuri sana ila kusiwepo na mpinzani mwenye vinasibu vinavyofanana na Kibu.

View attachment 2597140
Morrison hata benchi hayupo!!!!

Awali kulikuwa na tetesi kuwa amerudishwa Bongo baada ya kukutwa akiuza mbinu kwa mchezaji wa Rivers ambaye wanatoka nchi moja Ghana.

Baada ya hiyo taarifa watu wengi hatukuizingatia, lakini hiki kitendo cha yeye kutojumuishwa kwenye kikosi hata benchi asiwepo, kunaleta maswali.
 
Kama ni kweli basi ana shida kichwani
 
Kama mnamuona Wydad ni kiboko ya Mnyama Nigeria kala chuma 2 Nyi nani hata mbishe kukandwa
 
Yanga nyie jazeni tu mibeki yenu yote hiyo apo nyuma lakini leo kufa lazima diarra atakua shujaa leo japo mishale 4 lazima impite na mingine 7 ataipangua....hao niwanigeria bwana sio wacongo waliojichokea
 
Hivi hakuna mbadala wa Mwamnyeto, ana mapungufu mengi sana though Mimi sio Uto leo atakimbizwa sana na itamlazimu kucheza rafu. Aangaliwe asiigharimu Yanga
 
Mwamba huyu hapa leo lazima akunje bigidi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani kila inapocheza Yanga, basi lazima mkimbilie kuanzisha uzi! Kwa nini msiache nafasi kwa Wananchi wenyewe akina Joseverest na wengineo wengi kutuanzishia uzi wenye misingi ya kiuwananchi?

Jambo hili halijakaa sawa hata kidogo.
Duh kumbe kuna masharti ya kuanzisha nyuzi za yanga[emoji3][emoji818][emoji1550]
 
KWA SASA MPIRA WA AFRIKA BILA DAR YOUNG AFRICANS NI SAWA NA MZINGA WA NYUKI BILA ASALI HAUNA THAMANI....

GO WANAJANGWANI....
#WANANCHI [emoji169][emoji172]

TUKIMPIGA RIVERS NAJUA KINA ZUWEZA WATANUNA NA KUSEMA TEMEMPIGA KIBONDE

YOUNG AFRICA 2 RIVERS 0
FT
 
Taarifa kama hizi zitaendelea kubakia kuwa za kufikirika tu. Kama uongozi wetu haujatolea tamko, nitakuwa mtu wa mwisho kukuamini.

Timu ina wachezaji wengi! Na wanaotakiwa kucheza hawazidi 16. Hivyo ni kawaida kuona wachezaji wengine wakikosekana.
 
Uchawi hauchezi mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…