FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Morrison hata benchi hayupo!!!!

Awali kulikuwa na tetesi kuwa amerudishwa Bongo baada ya kukutwa akiuza mbinu kwa mchezaji wa Rivers ambaye wanatoka nchi moja Ghana.

Baada ya hiyo taarifa watu wengi hatukuizingatia, lakini hiki kitendo cha yeye kutojumuishwa kwenye kikosi hata benchi asiwepo, kunaleta maswali.
Duuuh km kweli, Morisson bas haipendi utopoloo ila pesa ndo zinamuweka hapo.
 
KWA SASA MPIRA WA AFRIKA BILA DAR YOUNG AFRICANS NI SAWA NA MZINGA WA NYUKI BILA ASALI HAUNA THAMANI....

GO WANAJANGWANI....
#WANANCHI [emoji169][emoji172]

TUKIMPIGA RIVERS NAJUA KINA ZUWEZA WATANUNA NA KUSEMA TEMEMPIGA KIBONDE

YOUNG AFRICA 2 RIVERS 0
FT
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazii ipooo.
 
Morrison hata benchi hayupo!!!!

Awali kulikuwa na tetesi kuwa amerudishwa Bongo baada ya kukutwa akiuza mbinu kwa mchezaji wa Rivers ambaye wanatoka nchi moja Ghana.

Baada ya hiyo taarifa watu wengi hatukuizingatia, lakini hiki kitendo cha yeye kutojumuishwa kwenye kikosi hata benchi asiwepo, kunaleta maswali.
Kwetu tunaita njemu sijui Ghana wanaiitaje?
Kifupi ni kichwa Cha njemu
 
Morson hajawahi kuvutiwa na mazingira ya Yanga shida tu zinamsumbua.
Haswaaaa yaan, niliona ile match baada ya simba kumalizika, alienda kwa wachezaji wa simba kuserereka nao, had mwenda alimparasa kichwaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Taarifa kama hizi zitaendelea kubakia kuwa za kufikirika tu. Kama uongozi wetu haujatolea tamko, nitakuwa mtu wa mwisho kukuamini.

Timu ina wachezaji wengi! Na wanaotakiwa kucheza hawazidi 16. Hivyo ni kawaida kuona wachezaji wengine wakikosekana.
Si Kila jambo huwekwa hadharani me ngine ni ya ndani tu.
BM amekutwa akifanya yake
 
uwanja hauna mashabiki kabisa. Stage kama hii timu ipo nyumbani inakosaje mashabiki uwanjani?
 
Yanga haiwezi Rivers tuache ushabiki maandazi. Yanga wamezoea kucheza mechi nje ya Uwanja huko alikoenda ni kuchezea za uso tu
 
Back
Top Bottom