cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Duuuh km kweli, Morisson bas haipendi utopoloo ila pesa ndo zinamuweka hapo.Morrison hata benchi hayupo!!!!
Awali kulikuwa na tetesi kuwa amerudishwa Bongo baada ya kukutwa akiuza mbinu kwa mchezaji wa Rivers ambaye wanatoka nchi moja Ghana.
Baada ya hiyo taarifa watu wengi hatukuizingatia, lakini hiki kitendo cha yeye kutojumuishwa kwenye kikosi hata benchi asiwepo, kunaleta maswali.