FT: Kufuzu AFCON 2023 | Niger 1-1 Taifa Stars | Uwanja wa de L'amitie, Benin

Lakini makocha wetu hawa kila mechi kumpanga Samata kisa anacheza nje ni ujinga, Samata kacheza mechi nyingi za Taifa Stars na hana maajabu,kwanini hawawapi nafasi wengine Samata aanzie hata benchi.
Una point mzeya ifike sehemu wfanye maamuzi magumu.
Kwa upande mwengine mie namuelewa samatta...siwezi jituma nirisk ulajibwangu wa mamillion kwa timu yenyewe kichwa cha mwendawazimu
 
Lakini makocha wetu hawa kila mechi kumpanga Samata kisa anacheza nje ni ujinga, Samata kacheza mechi nyingi za Taifa Stars na hana maajabu,kwanini hawawapi nafasi wengine Samata aanzie hata benchi.
KWA HERUFI KUBWA;
Kibu Denis ni Bora kuliko Samata kwenye timu ya Taifa.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Una point mzeya ifike sehemu wfanye maamuzi magumu.
Kwa upande mwengine mie namuelewa samatta...siwezi jituma nirisk ulajibwangu wa mamillion kwa timu yenyewe kichwa cha mwendawazimu
hapa wangewekwa hata washambuliaji kutoka vilabu vingine wenye uchu wa kuonekana , Samata hizi mechi zetu za huku anazichukulia kama ndondo.
 
Vikosi ambavyo vilianza kwenye mchezo wa leo, ambao umekwisha kwa Niger 1-1 Taifa Stars
 
Litimu halichezi kwa kujitoa....hii game ilikuwa ya kushinda wapate point tatu. Game inayokuja na Algeria, tutegemee kipigo cha mbwa koko
Uganda wamepigwa 2-0 na Algeria ngoja tuone itakuwaje Taifa Stars..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…