Una point mzeya ifike sehemu wfanye maamuzi magumu.Lakini makocha wetu hawa kila mechi kumpanga Samata kisa anacheza nje ni ujinga, Samata kacheza mechi nyingi za Taifa Stars na hana maajabu,kwanini hawawapi nafasi wengine Samata aanzie hata benchi.
Kwa upande mwengine mie namuelewa samatta...siwezi jituma nirisk ulajibwangu wa mamillion kwa timu yenyewe kichwa cha mwendawazimu