OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh. Arsenal? Hao wataanza kutia aibu siku sio nyingi mpaka mtawakataa.Msimu huu ni wa Arsenal na man city.. hawa wengine wajipange kwa misimu ijayo.
Hapa labda kama unaongea kiushabiki lakini kiuhalisia arsenal kwa sasa timu imeimarika kwenye maeneo yaliyokuwa yanasumbua.Teh teh teh. Arsenal? Hao wataanza kutia aibu siku sio nyingi mpaka mtawakataa.
Teh teh teh. Arsenal? Hao wataanza kutia aibu siku sio nyingi mpaka mtawakataa.
Arsenal anaenda kushinda game 16 na droo mbili katika raundi ya kwanza epl.Ngoja Christmas ifike arsenal tunaanza kushuka wach tushike usukani kwanza .
Mkuu Arsenal misimu yote ndio walivyo. Ngoja tuone. Ni suala la muda tu.Hapa labda kama unaongea kiushabiki lakini kiuhalisia arsenal kwa sasa timu imeimarika kwenye maeneo yaliyokuwa yanasumbua.
Nitaacha kushabikia mpira maisha yangu yote.Arsenal anaenda kushinda game 16 na droo mbili katika raundi ya kwanza epl.
Sio kweli, mwaka jana walipoteza michezo mitatu ya mwanzo.Mkuu Arsenal misimu yote ndio walivyo. Ngoja tuone. Ni suala la muda tu.
Haya yalishawahi kutokea miaka ya kina Henry hivyo halitakuwa jambo jipya. Timu zitakazopata sare kwa arsenal ni man city na tottenham wengine wote watafungwa.Nitaacha kushabikia mpira maisha yangu yote.
Sasa unaongelea miaka ya kina Henry mzee kwani ni akina Henry hao au?Haya yalishawahi kutokea miaka ya kina Henry hivyo halitakuwa jambo jipya. Timu zitakazopata sare kwa arsenal ni man city na tottenham wengine wote watafungwa.
Timu imerejea.. GJ ndio Henry, Martinelli ndio bergcamp, Saka ndio Pires, Partey ndio Vieira, Saliba ndio Campbell, Odegaard ndio Gilberto na Magalhanes ndio Lauren.Sasa unaongelea miaka ya kina Henry mzee kwani ni akina Henry hao au?
Nilijua tuu wambeya mtakuja kututukana...