FT: Leeds United 3- 0 Chelsea, EPL

Msimu huu ni wa Arsenal na man city.. hawa wengine wajipange kwa misimu ijayo.
 
Haya yalishawahi kutokea miaka ya kina Henry hivyo halitakuwa jambo jipya. Timu zitakazopata sare kwa arsenal ni man city na tottenham wengine wote watafungwa.
Sasa unaongelea miaka ya kina Henry mzee kwani ni akina Henry hao au?
 
Sasa unaongelea miaka ya kina Henry mzee kwani ni akina Henry hao au?
Timu imerejea.. GJ ndio Henry, Martinelli ndio bergcamp, Saka ndio Pires, Partey ndio Vieira, Saliba ndio Campbell, Odegaard ndio Gilberto na Magalhanes ndio Lauren.
 
Leo ninafurahi sana Chelsea kufungwa zaidi ya furaha. Mimi man u kesho tunachinja jogoo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…